Meet your new press agentKuhusu

Publish


Mfumo wa Kontax, ambayo inapatikana katika zaidi ya nchi 160 na kwa lugha zinazozungumzwa mle, huruhusu wateja wa mashirika na taasisi katika kila nchi kuchapisha idadi isokikomo ya matangazo maalum kwa vyombo mbalimbali vya habari kwa lugha wanayoitaka, na kupata tafsiri za matangazo yao maalum, zilizofanywa na wataalum, kwa lugha yoyote ile.

Translate


Watumiai huweza kuwasiliana moja kwa moja na kampuni za kutafsiri zinazoshirikiana na Kontax – nyingi za kampuni hizi zikiwa na ISO 9001 au cheti sawa, na kampuni hizi zote huzingatia taratibu za EN 15038 za kuhakikisha ubora – zilizoteuliwa katika kila nchi ili kuhakikisha matangazo maalum yaliyotafsiriwa ni ya gharama na ubora wa hali ya juu.

Distribute


Kutokana na kusambazwa kwa wanahabari na vyombo vya habari vya jamii kote ulimwenguni na kuboreshwa kwa vitafutaji katika kila nchi, Kontax inamaanisha kuwa watumiaji wanaweza kukuza bidhaa zao, kuuza huduma zao, kuteua washirika wao, na kufuatilia soko zao duniani kote.

Huduma

  Publish
12 EUR

 • Kuchapishwa kwa matangazo maalum kwa lugha na katika nyanja unayotaka

 • Matamgazo maalum kwa vyombo mbalimbali vya habari (video za YouTube, picha…)

 • Maandishi yasokikomo

 • Mfumo kamili wa Kudhibiti Matangazo Maalum kwenye mtandao

 • Uchapishaji mara moja/kiotomatiki wa matangazo maalum katika vyombo vya habari vinavyoongoza katika jamii duniani

 • Search Engine Optimisation (SEO) ya matangazo maalum

 • Inaweza kufikiwa kupitia rununu na vile vinavyoshikwa kwa mkono

  Translate
80 EUR

 • Gharama bora ya tafsiri kutokana na kuwa na kampuni za kutafsiri zilizo ndani ya nchi
 • Tafsiri zinafanywa na kampuni za kutafsiri zilizotanda kote ulimwenguni zenye ISO 9001 au cheti sawa
 • Tafsiri za matangazo maalum zinapatikana katika zaidi ya nchi 160 na kwa lugha zinazozungumzwa mle
 • Kuwasiliana moja kwa moja na kampuni ya kutafsiri iliyoteuliwa katika nchi yako
 • Uhakikishaji ubora uliounganishwa

  Distribute
149 EUR

 • Targets include 900,000 journalists
 • Readership by a minimum of 2,000 journalists guaranteed
 • Formatting compliant with Newswire standards / NewsML standard indexing
 • Real-time readership statistics/ Detailed reporting

  Track
0 EUR

 • Ufuatiliaji wa soko katika lugha, nchi, na sekta zote za soko
 • Milisho ya RSS kwa kuzingatia nyanja na lugha
 • Arifa za PR – zinazopatikana kwa kuzingatia mji, nchi, lugha, nyanja, na neno kuu
 • Idadi ya mara ambayo kila PR imetazamwa kwa kuzingatia nchi
 • Mfumo wa Nyaraka na Utafutaji unapatikana katika lugha zote kuu

Here’s how Kontax optimizes the global impact of your press releases:


  When you publish a press release, Kontax sends you an alert by e-mail. Forward it to your friends, customers and prospects, for greater social impact!


To translate a press release, go to your User panel, select the press release and click on the "Translate" icon : Your Kontax Translation Manager will take care of the rest. In a global economy, this optimizes its international impact.

To distribute a press release, go to your User Panel, select the press release and click on the "Distribute" You control the date of distribution, to optimize its impact in time.

To optimize their global impact, your press releases (and translations) are automatically

included in the multilingual daily alerts and weekly newsletters sent to Kontax users,

included in the RSS feeds generated by Kontax,

relayed by Kontax to social media such as Twitter, Facebook etc.